Safari Ya Juma: Riwaya Ya Kijana Wa Kiafrika Aliyefunga Safari Ili Kumtafuta Mungu Nchini Tanzania-..

Código: 670619 Marca:
R$ 82,92 R$ 66,34
ou R$ 63,02 via Pix
Adicionar ao carrinho Disponibilidade: 45 dias úteis Estoque: 56 unidades
  • R$ 63,02 Pix
  • R$ 66,34 Boleto Bancário
  • R$ 66,34 Pagali Cartão
* Este prazo de entrega está considerando a disponibilidade do produto + prazo de entrega.
UNAWEZA KUTEMBEA UMBALI KIASI GANI UKIWA PEKU? Mwandishi wa "Safari ya Juma" anakualika uifuatilie simulizi ya kijana Juma aliyetembea peku umbali wa kilomita 1529 kutoka Mbeya iliyopo kusini hadi Arusha iliyopo kaskazini mwa Tanzania. Masaa kadhaa kabla ya kufariki, Juma alimwahidi mamake kuwa angemtafuta mzungu mmishenari aliyeko Mbeya ili amweleze habari za Yesu. Juma agundua kua yule mzungu ameishaondoka Mbeya kuelekea Arusha na hivyo hana budi kumfuata huko ili kuitunza ahadi aliyomwahidi mama yake ambaye sasa ni marehemu. Katika safari hii hatari, Juma akumbana na vipingamizi vingi vya kimwili na kiroho pia. Utamhurumia anapokumbana na chui na kulengwa na majangili, anapotekwa na kutumikishwa kiutumwa. Je! atasalimika kutoka katika mikono ya mbwa-mwitu wakali wanaomwinda msituni? Akiwa amepoteza fahamu na ni mgonjwa amelala kando ya barabara, Je! kuna matumaini yeyote ya kuokolewa? Je, atafika Arusha? Soma kitabu hiki ili kupata majibu!
ISBN 9781499359862
Autor(a) Scroggins, Edwin W.
Editora Createspace
Ano de edição 2014
Páginas 134
Acabamento Brochura
Dimensões 20,30 X 13,30
R$ 82,92 R$ 66,34
ou R$ 63,02 via Pix
Adicionar ao carrinho Disponibilidade: 45 dias úteis Estoque: 56 unidades
Pague com
  • Pagali
  • Pix
Selos
  • Site Seguro

MYRE EDITORA, COMERCIALIZADORA, IMPORTADORA E DISTRIBUIDORA LTDA - CNPJ: 50.295.718/0001-20 © Todos os direitos reservados. 2026


Para continuar, informe seu e-mail

Utilizamos cookies para que você tenha a melhor experiência em nosso site. Para saber mais acesse nossa página de Política de Privacidade